Home video TAZAMA MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA MUSOMA, NYOMI LAKUTOSHA

TAZAMA MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA MUSOMA, NYOMI LAKUTOSHA

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Septemba 28 kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United ya Mara ikiwa ni mchezo wao wa kwanza ndani ya msimu wa 2021/22. 


Haya yalikuwa ni mazoezi ya mwisho kabla ya kuwakabili Wanajeshi hao wa Mpakani.

 

SOMA NA HII  SAKHO AZUNGUMZA KISWAHILI AKIWA NA MSHIKAJI WAKE WAWA