Home Yanga SC BREAKING: HATIHATI MECHI YA SIMBA V YANGA KUTOCHEZWA LEO

BREAKING: HATIHATI MECHI YA SIMBA V YANGA KUTOCHEZWA LEO


BAADA ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga kupelekwa mbele kikosi cha Yanga kimewasili uwanjani kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo huo ambao unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku.

Muda wa awali ulipangwa saa 11:00 ila taarifa ambayo imetolewa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imepeleka mbele muda mpaka saa 1:00 usiku.

Wachezaji wa Yanga wameanza mazoezi na wameweka wazi kuwa ikifika dakika 15 watawasubiri wapinzani wao ili kuona kama Simba watafika au la.

SOMA NA HII  KISA KIPIGO CHA WATUNISIA....MASHABIKI YANGA 'WAGUGUMIA NA UMBILIKOMO' WA WACHEZAJI WAO...