Home Yanga SC BREAKING: YANGA YAGOMEA MABADILIKO YA MUDA YA MECHI YAO LEO

BREAKING: YANGA YAGOMEA MABADILIKO YA MUDA YA MECHI YAO LEO


BREAKING: YANGA yagomea mabadiliko ya muda wa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, baada ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kutoa taarifa za kubadili muda kutoka leo kutoka ule wa awali saa 11:00 jioni mpaka saa 1:00.

Yanga wamesema kuwa wanapeleka timu saa 11:00 uwanjani.

Taarifa yao inaeleza hivi:-


SOMA NA HII  YANGA WAIJIBU SPORTPESA 'KIBABE'...WADAI HAKI YAO KWENYE JEZI INAMIPAKA...