Home Habari za Yanga TIKETI ZA KITONGA MECHI YA YANGA….TIKETI 1000 KUTOLEWA BURE…THAMINI UTU CHANGIA DAMU

TIKETI ZA KITONGA MECHI YA YANGA….TIKETI 1000 KUTOLEWA BURE…THAMINI UTU CHANGIA DAMU

TIKETI ZA KITONGA MECHI YA YANGA....TIKETI 1000 KUTOLEWA BURE...THAMINI UTU CHANGIA DAMU

Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji ametoa tiketi 1000 za kushuhudia mchezo dhidi ya US Monastir

katika mchezo utakaochezwa jumapili ya wiki hii, kwa wote watakaojitokeza kwenye zoezi la uchangiaji damu litakalofanyika siku ya Ijumaa, katika Hospitali ya Mloganzila na Makao Makuu ya klabu ya Yanga.

Ikiwa ni sehemu ya kujali na kuthamini utu, klabu hiyo inafanya hivyo kuhakikisha kunapatikana ongezeko la asilimia nyingi ya damu ili kukizi huduma za matibabu kiujumla pale tu itakapokuwa inahitajika kwa uharaka.

SOMA NA HII  AZIZ KI HATIHATI KUWAKOSA WASUDANI AL MERREIKH....ISHU NZIMA IMEKAA HIVI....