news

MBWANA SAMATTA AREJEA UBELGIJI

admin September 1, 2021 7:44 am


 MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amesajiliwa kwa mkopo wa msimu mzima na Klabu ya Ubelgiji, Royal Antwerp FC akitokea Klabu ya Uturuki, Fenerbahce.

Mzawa huyo anayepeperusha bendera ya Tanzania sera yake namba moja ni haina kufeli ana kazi kubwa ya kuendelea kupeperusha bendera ya Tanzania.

Samatta amewahi kucheza katika Ligi Kuu ya Ubelgiji akiwa na Klabu ya KRC Genk na kuisaidia kuwa Bingwa miaka miwili iliyopita kisha kuhamia Aston Villa na kisha kwenda Fenerbahçe.


Amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania akiwa ni nahodha ataungana na timu Congo kwa ajili ya mchezo dhidi ya DR Congo unaotarajiwa kuchezwa Septemba 2.

VIDEO:TAZAMA NAMNA BONDIA MNAMIBIA ALIVYOTUA BONGO,KUPAMBANA NA MWAKINYO VIDEO:MABILIONI YA YANGA KUTEKA JIJI, VITA YA MORRISON NA MANARA YAENDELEA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply