Cecafa Cup

RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI MICHUANO YA CECAFA WANAWAKE…SASA ITAFAHAMIKA KWA JINA LAKE

admin September 2, 2021 1:58 pm


Hatimaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameweka wazi fedha za udhamini wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati.

Rais Samia aliahidi kudhamini michuano hiyo alipokuwa kwenye hafla maalum ya kukabidhiwa Kombe la Ubingwa la CECAFA chini ua umri wa miaka 23 majuma mawili yaliyopita jijini Dar es salaam.


Mapema hii leo TFF imetoa taarifa za udhamini wa Rais Samia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki Fedha za udhamini wa michuano hiyo inayoendelea nchini Kenya.

Tanzania inawakilishwa na Simba Queens, na tayari imeshacheza michezo miwili, ikishinda mmoja na kutoka sare mmoja.

USAJILI WA HENOCK ‘VARANE’ WAMFANYA MAGORI AFUNGUKE HAYA…AGUSIA BENCHI LA UFUNDI UKUTA WA SIMBA WAWEKA REKODI MPYA BONGO..ONYANGO NA WAWA WATAJWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply