Home Azam FC KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA ZESCO UNITED

KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA ZESCO UNITED


 KIKOSI rasmi cha Azam FC, kitakachowavaa mabingwa wa Zambia, Zesco United, katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki.

Mchezo huo utafanyika Uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola, Zambia leo Ijumaa saa 10.00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.



SOMA NA HII  BAADA YA KUONA KAZI YA KILA MMOJA...KIGOGO SIMBA ASHINDWA KUJIZUIA UBORA WA MAYELE DHIDI YA PHIRI...