Home KMC FC BREAKING:KIPA YANGA ASAINI DILI KMC

BREAKING:KIPA YANGA ASAINI DILI KMC


FAROUK Shikalo aliyekuwa kipa namba mbili wa Yanga leo Septemba 4 ametambulishwa kuwa mali ya KMC.

Nyota huyo ambaye alikuwa anakipiga Yanga mkataba wake wa miaka miwili ulimeguka na mabao wa timu hiyo waliamua kumuacha aende.

Hakuwa katika nafasi ya kudumu msimu uliopita kwa kuwa katika mechi 34 alikaa langoni kwenye mechi 10 za Ligi Kuu Bara. 

Aliweza kutwaa taji la Mapinduzi katika mchezo wa fainali uliochezwa Visiwani Zanzibar mbele ya Simba.

SOMA NA HII  KUHUSU ISHU YA KASEJA KUBAKI AU KUTEMWA....KMC WAAMUA KULIMALIZA JAMBO HILO KIUNGWANA KWA STAHILI HII...