video

VIDEO: MASHABIKI WA SIMBA WAJIPANGA FOLENI KUPATA UZI MPYA

admin September 4, 2021 3:43 pm


BAADA ya jana Septemba 3 Uongozi wa Simba kutangaza rasmi kwamba jezi ya timu hiyo ya Simba inapatikana Tanzania kwenye maduka yote ya Vunja bei tayari kwa sasa mashabiki wameendelea kujitokeza kwa wingi katika maduka ya Vunja Bei ili kujipatia uzi huo mpya kwa msimu wa 2021/22.


 Pia kwa sasa ni maandalizi ya Simba Day inayotarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkapa, Septemba 19 na Wiki ya Simba inatarajiwa kuanza Septemba 13 mpaka siku ya kilele ca Simba Day.

 

BIASHARA UNITED HESABU ZAO ZIPO HIVI KIMEUMANA..GOMES ASHINDWA KUVUMILIA TABIA ZA MORISSON NA MKUDE..MSENEGALI NAYE YUMO..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply