ββJesse Lingard imeripotiwa kuwa amewaambia West Ham kwamba hana mpango wa kurudi katika timu yake ya zamani Manchester United.
Sababu kubwa inayomfanya nyota huyo kutaka kubaki ndani ya kikosi hicho ni kuaminika na kupewa nafasi kikosi cha kwanza.
Awali iliripotiwa kwamba Lingard angerejea ndani ya Manchester United ila mambo yamekuwa tofauti kwake hajarudi.