video
SAUTI: YANGA WAPATA SIRI ZA WANAIGERIA WATAKAOMENYANA NAO KWA MKAPA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Rivers United ya Nigeria ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 12 saa 11:00 jioni.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.