news

KISA CAF KUZUIA WACHEZAJI YANGA…GSM AINGILIA KATI…AFANYA MAAMUZI MAGUMU..NABI ATAJWA

admin September 10, 2021 5:00 pm


Kuanzia juzi zilipotoka taarifa za wachezaji wanne wa Yanga kuzuiwa CAF ambao ni Djuma Shaban, Fiston Mayele na Khalid Aucho, Bilionea wa Yanga Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ baada ya kuambiwa umuhimu wa mastaa hao na Kocha Nesreddine Nabi akataka mawasiliano ya haraka yafanyike.

Akili ya Ghalib anataka hata kama kwa kulipa faini yuko tayari kufanya hivyo ili Yanga iwapate mastaa hao ingawa bado wanapambana.

Ghalib alinunua mastaa hao pamoja na wengine wa kigeni wakiangalia zaidi mechi za kimataifa.

KUHUSU KUJA AU KUTOKUJA KWA TP MAZEMBE..UONGOZI SIMBA WAFUNGUKA HAYA..WATAJA SABABU MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply