video

VIDEO:YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA MADENI, YAPIGA HESABU KUVUKA HATUA YA MAKUNDI

admin September 10, 2021 3:44 am

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hakuna suala la kudaiwa kwa timu hiyo kutokana na habari kueleza kuwa madeni yamewafanya washindwe kukamilisha usajili wa wachezaji wao watatu ikiwa ni pamoja na Khalid Aucho, Djuma Shaban na Fiston Mayele.


 Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa hizo zote zinazotajwa ni porojo na mpango wa kuwatoa kwenye reli jambo ambalo haliwezekani na wanaamini kwamba watapata ushindi mbele ya Rivers United.

 

SAUTI:NAMBA NGUMU NDANI YA KIKOSI CHA SIMBA MECHI ZOTE ZA AZAM FC KIMATAIFA KUPIGWA DAR

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply