news

HUU HAPA MUZIKI KAMILI WA YANGA DHIDI YA RIVERS UNITED KIMATAIFA

admin September 12, 2021 5:43 am


  LEO Jumapili kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasredine Nabi kinatarajiwa kuwa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Rivers United, Uwanja wa Mkapa ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali.

Nabi ameweka wazi kuwa anahitaji ushindi kutokana na maandalizi ambayo ameyafanya lica ya mchezo kuamini kwamba utakuwa mgumu.

Baada ya mchezo wa leo Yanga inatarajiwa kumenyana tena na Rivers United Septemba 19 nchini Nigeria, hapa ni kikosi ambacho kinapewa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza leo kipo namna hii:-

Diarra Djigui huyu anapewa nafasi ya kukaa kwenye milingoti mitatu leo kwa Mkapa. 

Kibwana Shomari huyu atabeba mikoba ya Djuma Shaban.

Bakari Mwamnyeto huyu ni nahodha wa Yanga. 

Dickson Job 

Adeyum Saleh 

Yanick Bangala

Tonombe Mukoko 

Jeus Moloko

Fei Toto 

Heritier Makambo




RONALDO ASHANGAZWA NA MASHABIKI MASAU BWIRE AFUNGUKIA SUALA LA KUWA OFISA HABARI SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply