Home news PICHA ZA MATUKIO YA KUMUAGA HANSPOPE

PICHA ZA MATUKIO YA KUMUAGA HANSPOPE











LEO Septemba 13 zoezi la kumuaga Zacharia Hanspope limefanyika ambapo viongozi wa Simba,Yanga pamoja na viongozi wa Serikali bila kusahau mashabiki wa masuala ya mpira walijitokeza kutoa heshima ilikuwa ni katika ukumbi wa Karimjee, pumzika kwa amani kiongozi 

SOMA NA HII  RASMI...KUELEKEA MSIMU UJAO WA LIGI YA MABINGWA AFRIKA...CAF WAIPA SIMBA HADHI SAWA NA AL AHLY YA MISRI...