kimataifa
PSG, REAL MADRID ZAWANIA SAINI YA NYOTA RUDIGER
KLABU ya Chelsea imeanza mazungumzo na nyota wake Antonio Rudiger na ishu kubwa ni kuhusu kuongeza mkataba wake.
Chelsea imeweka wazi kuwa inahitaji kuona nyota huyo anabaki ndani ya kikosi hicho.
Lakini pia inatajwa kuwa Paris Saint-Germain, (PSG) na Real Madrid zinamtazama kwa ukaribu nyota huyo ili ziweze kunasa saini yake.
Mabosi hao wa Ulaya wapo tayari kumpa dili nyota huyo ambaye dili lake linatarajiwa kumeguka 2022.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.