Home video KOCHA AZAM AFUNGUKA MCHEZO WA KESHO

KOCHA AZAM AFUNGUKA MCHEZO WA KESHO

KOCHA msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Horseed FC hautakuwa mwepesi hivyo watapambana kupata matokeo chanya. 

 

SOMA NA HII  VIDEO:FEISAL ATAJA WALICHOAMBIWA NA MWALIMU, ATOA SHUKRANI