Home video SIMBA YASAINI DILI NA EMIRATE ALUMINIUM

SIMBA YASAINI DILI NA EMIRATE ALUMINIUM

TIMU ya Simba imesaini mkataba wa makubaliano na Kampuni ya Emirate Aluminium Profile kwa ajili ya tuzo ya mchezaji Bora wa Mwezi.

 

SOMA NA HII  VIDEO: NABI AITANGAZIA VITA SIMBA, MAKUSU AINGIA ANGA ZA MSIMBAZI