Uncategorized

MESSI ASIMAMISHWA KUSHIRIKI MICHUANO YA KIMATAIFA MIEZI MITATU

admin August 3, 2019 7:57 am


LIONEL Messi, nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina amesimamishwa kutoshiriki michuano ya kimataifa Kwa muda wa miezi mitatu.

Hatua hiyo imefikia baada ya Messi kusema kuwa michuano ya Copa Amerika imetawaliwa na mazingira ya rushwa.

Pia nyota huyo anayekipiga Barcelona amepigwa faini ya dola milioni 50,000 amepewa siku saba za kupinga maamuzi.

Alitolewa Kwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu wakati timu yake ikishinda mabao 2-1 dhidi ya Chile ndipo baadaye akasema kuwa Copa America ni maalumu kwa ajili ya Brazil.

SPOTIPESA SIMBA WIKI IMEPAMBA MOTO DAR MPAKA MWANZA, LEO NI MWENDELEZO MBAPPE AMKOMALIA NEYMAR AMTAKA ABAKI PSG

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply