Home news YANGA YAKIMBIZA KWA MAPATO YA MLANGONI 2020/21

YANGA YAKIMBIZA KWA MAPATO YA MLANGONI 2020/21


KATIKA orodha ya timu 20 ambazo zimeongoza kwa kukusanya mapato mengi msimu wa 2020/21 Yanga ni namba moja na inafuatiwa na Simba.

Pia JKT Tanzania ni miongoni mwa timu ambazo zilikusanya mapato mengi na ipo nafasi ya tatu.


Msimu wa 2021/22 itakuwa ndani ya Championship Tanzania baada ya kushuka daraja mazima.

Hii ni kwa timu ambazo zilipngoza kwa mapato ya mlangoni kwa mechi za nyumbani.

SOMA NA HII  ARTETA : ARSENAL BADO TUNA NDOTO ZA UBINGWA...