Home video TAZAMA NYOMI UWANJA WA MKAPA NAMNA ILIVYOKUWA

TAZAMA NYOMI UWANJA WA MKAPA NAMNA ILIVYOKUWA

0

SEPTEMBA 19 bado Wanasimba wanakumbuka namna utambulisho wao wa wachezaji wa kikosi cha msimu wa 2021/22 ulivyofana katika tamasha la Simba Day.

 
Licha ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe ila Uwanja wa Mkapa nyomi ilikuwa kama yote.