Home video SHANGWE LA YANGA NOMA, MASHABIKI SIMBA WAYEYUKA MAZIMA

SHANGWE LA YANGA NOMA, MASHABIKI SIMBA WAYEYUKA MAZIMA

ILIKUWA ni furaha kwa Wananchi, Yanga baada ya kutwaa taji la Ngao ya Jamii kwa kuwa mwanzo mwisho walikuwa wakishangilia baada ya kuitungua Simba bao 1-0, wakati wa kugawa zawadi mashabiki wa Simba walikuwa wameshasepa eneo la tukio kitambo Uwanja wa Mkapa. 

 

SOMA NA HII  EXCLUSIVE:JESHI KAMILI LA RUVU SHOOTING 2021/22, MASAU APIGA MKWARA