Home Azam FC AZAM FC WAMPA DILI LA MWAKA MMOJA BEKI MCAMEROON

AZAM FC WAMPA DILI LA MWAKA MMOJA BEKI MCAMEROON


KIKOSI cha Azam FC kilifunga dirisha la usajili kwa ajili ya msimu wa 2021/22 katika Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikiho na mashindano mengine ambayo watashiriki.

 Ni usajili wa beki wa kati raia wa Cameroon, Yvan Lionnel Mballa alifunga usajili kwa timu hiyo ambayo imeweka kambi nchini Zambia.

Ni dili la mwaka mmoja kasaini beki huyo akitokea Klabu ya Forest Rangers ya Zambia.

Mballa amefunga zoezi la usajili kwenye dirisha lililofungwa usiku wa Agosti 31.

SOMA NA HII  YANGA HII YA GAMONDI SASA HATARI KAMA ULAYA