Home Ligi Kuu FT :LIGI KUU BARA-BIASHARA UNITED 0-0 SIMBA

FT :LIGI KUU BARA-BIASHARA UNITED 0-0 SIMBA

 


UWANJA wa Karume 

LIGI KUU BARA 

Biashara United 0-0 Simba

Dakika ya 16 Kenedy anamchezea faulo kipa wa Biashara United

Dakika ya 13, Bocco anacheza faulo 

Dakika ya 12 Kenedy Juma anarrjesha mpira kwa Manula anachezewa faulo 

Dakika ya 11 Mangalo anaanua majalo 

Dakika ya 9 Biashara United wanapata faulo Uwanja wa Karume Mara nje ya 18

Dakika ya 6 Kapombe anapeleka mashambulizi Biashara United 

Dakika ya 4 Redondo anachezewa faulo

Dakika ya 3 Kapombe anaanua majalo baada ya Kennedy Juma kujichanganya.

Dakika ya 2 Dilunga anachezewa faulo

SOMA NA HII  MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA MZUNGUKO WA PILI