Home video ISSA AZAM APOKELEWA NDANI YA SIMBA RASMI

ISSA AZAM APOKELEWA NDANI YA SIMBA RASMI

ISSA Azam amerejea ndani ya Simba akiwa ni shabiki na amepokelewa kwa shangwe na mashabiki wa Simba pia amekabidhiwa uzi mpya ambao utazinduliwa rasmi na wachezaji Septemba 19 Uwanja wa Mkapa kwenye tamasha la Simba Day. 

 

SOMA NA HII  SHABIKI WA YANGA ANAAMINI KWAMBA SIMBA INAFUNGWA NA BIASHARA UNITED LEO