Home video JIMMY KINDOKI ACHEKELEA KUPANDA NDEGE,ATUMA UJUMBE KWA WATANZANIA

JIMMY KINDOKI ACHEKELEA KUPANDA NDEGE,ATUMA UJUMBE KWA WATANZANIA

SHABIKI wa Yanga, Jimmy Kindoki ameweka wazi kuwa ameweke historia kupanda ndege ya Air Bus huku akirejesha shukrani nyingi kwa GSM kwa alichokifanya. Kuelekea mechi hiyo ya kimataifa inayotarajiwa kuchezwa nchini Nigeria ameweka wazi kuwa ni muhimu kila mmoja kuipambania Yanga nje ya uwanja.

 

SOMA NA HII  VIDEO:HAJI MANARA ATUPA DONGO LINGINE KWA SIMBA