Home video KERO ZA HAJI MANARA,OFISA HABARI WA YANGA NOMA KABISA

KERO ZA HAJI MANARA,OFISA HABARI WA YANGA NOMA KABISA

KERO za Haji Manara Ofisa Habari wa Yanga jana Septemba 25 baada ya timu yake kutwaa taji la Ngao ya Jamii mbele ya mabosi wake wa zamani Simba ni noma na nusu.


Yanga ilishinda bao 1-0 mbele ya Simba na kuwafanya waweze kutwaa taji la Ngao ya Jamii ikiwa ni mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Bara. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: MZEE WA UTOPOLO ATAKA KUKUTANA NA HAJI MANARA