Home news KISA CAF KUZUIA WACHEZAJI YANGA…GSM AINGILIA KATI…AFANYA MAAMUZI MAGUMU..NABI ATAJWA

KISA CAF KUZUIA WACHEZAJI YANGA…GSM AINGILIA KATI…AFANYA MAAMUZI MAGUMU..NABI ATAJWA


Kuanzia juzi zilipotoka taarifa za wachezaji wanne wa Yanga kuzuiwa CAF ambao ni Djuma Shaban, Fiston Mayele na Khalid Aucho, Bilionea wa Yanga Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ baada ya kuambiwa umuhimu wa mastaa hao na Kocha Nesreddine Nabi akataka mawasiliano ya haraka yafanyike.

Akili ya Ghalib anataka hata kama kwa kulipa faini yuko tayari kufanya hivyo ili Yanga iwapate mastaa hao ingawa bado wanapambana.

Ghalib alinunua mastaa hao pamoja na wengine wa kigeni wakiangalia zaidi mechi za kimataifa.

SOMA NA HII  BAADA YA KUSIKIA MAYELE NDIYE MFALME BONGO...BALEKE KAKUNA KICHWA WEE..KISHA AKASEMA HILI..