Home video KOCHA BIASHARA UNITED ABAINISHA WALIKUWA WANAZITAKA POINTI TATU ZA SIMBA

KOCHA BIASHARA UNITED ABAINISHA WALIKUWA WANAZITAKA POINTI TATU ZA SIMBA

KOCHA wa Biashara United ya Mara ameweka wazi kuwa walikuwa wanahitaji pointi tatu mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Karume ila kwa walichokipata wanashukuru Mungu kwani mchezo ulikuwa na ushindani na timu zote zilikuwa zinahitaji ushindi.

 

SOMA NA HII  LIVE: RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ANAZUNGUMZA NDANI ya GLOBAL RADIO