Home Namungo FC MOLINGA NI MALI YA NAMUNGO

MOLINGA NI MALI YA NAMUNGO


DAVID Molinga papaa Molinga msimu wa 2021/22 atakuwa ndani ya  Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu,  Hemed Morocco. 

Raia huyo wa Congo ana itambua vema ligi ya Tanzania kwa sababu aliwahi kucheza zama za Mwinyi Zahera alipokuwa Yanga na alikuwa ni namba moja kwa utupiaji.

Namungo imeweka kambi Lindi ikiwa na hesabu za kufanya vema msimu ujao wa 2021/22 kwa mujibu wa Morocco. 

Pia nyota mwingine wa kigeni ambaye yupo ndani ya Namungo FC ni pamoja na Obrey Chirwa ambaye alikuwa akikipiga ndani ya Namungo FC.

SOMA NA HII  WAKATI YANGA WAKIALIKWA MALAWI...BURUNDI WAIPA SHAVU NAMUNGO...