Home video VIDEO: KUMBE KINDOKI ALIAMBIWA AGOMBEE URAIS TFF, ABAINISHA SIFA ZAKE

VIDEO: KUMBE KINDOKI ALIAMBIWA AGOMBEE URAIS TFF, ABAINISHA SIFA ZAKE

JIMMY Kindoki, mdau wa masuala ya michezo Bongo leo Juni 11 amechukua fomu makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania, TFF kwa ajili ya kuwania nafasi ya Ujumbe, Kindoki amesema kuwa alifuatwa na watu wanaojua mpira na walitaka agombee Urais jambo ambalo aligomea na kuwaambia kwamba ikiwa wanahitaji achukue fomu basi wamchukulie fomu jambo ambalo walifanikiwa kulifanya.

 

SOMA NA HII  VIDEO: HAJI MANARA AMKINGIA KIFUA MKEWE, ASEMA NI MAHABA TU