Home video VIDEO: HAJI MANARA AMKINGIA KIFUA MKEWE, ASEMA NI MAHABA TU

VIDEO: HAJI MANARA AMKINGIA KIFUA MKEWE, ASEMA NI MAHABA TU

HAJI Manara aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba na kwa sasa ni mtumishi mpya ndani ya kikosi cha Yanaga amebainisha kwamba wasimsingizie mke wake kuwa amechangia kumshawishi yeye kujiunga na timu ya Yanga hilo halipo bali ni mahaba yake ndani ya Yanga.

 

SOMA NA HII  VIDEO: KIPA NAMBA MOJA WA MWADUI FC, MUSSA MBISSA AMEWEKA