Home video VIDEO: MSHAMBULIAJI WA ZAMBIA, MOSES PHIRI ANAKUJA SIMBA

VIDEO: MSHAMBULIAJI WA ZAMBIA, MOSES PHIRI ANAKUJA SIMBA

MSHAMBULIAJI Moses Phiri raia wa Zambia ameweka wazi kwamba yupo kwenye mpango wa kujiunga na Simba msimu ujao kwa kuwa mabosi wa timu yake ya Zanaco wamebariki suala hilo hivyo ni jambo la kusubiria kuona mambo yatakavyokuwa.


Nyota huyo amebainisha kwamba kumekuwa na mazungumzo na mabosi wa timu hizo mbili kati ya Simba na Zanaco kuhusu yeye kuja Bongo.

 

SOMA NA HII  TAZAMA MAZOEZI YA MWISHO YA WAPINZANI WA STARS