Home Uncategorized DUH! KAMBI YA SIMBA SI YA MCHEZOMCHEZO

DUH! KAMBI YA SIMBA SI YA MCHEZOMCHEZO


MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara kwa sasa wameweka kambi nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Simba watapeperusha Bendera ya Taifa kwenye michuano ya kimataifa na wana kibarua kizito cha kutetea taji lao tena.

Dozi wanayoipata nchini Afrika Kusini ni asubuhi na jioni na kambi waliyoweka sio ya mchezomchezo kwani ilitumiwa na timu ya Taifa ya Uingereza kwenye michuano ya Kombe  la Dunia mwaka 2010 lililofanyika nchini Afrika Kusini.

SOMA NA HII  BEKI WA IVORY COAST ANAYEKIPIGA SIMBA ATAJA ANACHOHOFIA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here