Home Burudani SAKATA LA MWAKINYO KUPIGWA UINGEREZA…MANDONGA NAYE KAONA ISIWE TABU…AIBUKA NA KUMSHUKIA KWA...

SAKATA LA MWAKINYO KUPIGWA UINGEREZA…MANDONGA NAYE KAONA ISIWE TABU…AIBUKA NA KUMSHUKIA KWA MANENO HAYA..


Bondia Maarufu kwa sasa nchini Tanzania Karim Mandonga amevunja ukimya na kuzungumzia pambano la bondia mwenzake Hassan Mwakinyo ambalo lilipiganwa Septemba 3, 2023 Jijini Liverpool.

Katika pambano hilo Mwakinyo alipotezo kwa TKO dhidi ya Liam Smith katika raundi ya nne ya mchezo kwa kushindwa kuendelea kutokana na kile alichokitaja yeye “viatu vilikuwa vinambana na kupelekea yeye kupata maumivu ya mguu”.

Kwa mujibu wa Dodoma_tv Mandonga alisema kuwa Mwakinyo angeomba watanzania wamchangie pesa ya kununua viatu isinge shindikana, ila kaamua tu kuliabisha taifa.

SOMA NA HII  SIMBA HAWAPOI MAWINDO YANAENDELEA SASA WAHAMIA HUKU