Home video MUONEKANO WA UWANJA WA AZAM COMPLEX NYAKATI ZA USIKU

MUONEKANO WA UWANJA WA AZAM COMPLEX NYAKATI ZA USIKU


UWANJA wa Azam Complex unamilikiwa na Klabu ya Azam FC, huu ni muonekano wa uwanja huo wakati usiku baada ya maboresho makubwa ambayo yamefanyika kwa kuweka taa bora pamoja na nyasi bandia ambazo ni za kiwango cha juu.


 Umekuwa ni faida kwa Tanzania uwanja huu kwa kuwa mechi nyingi za kimataifa kwa timu ambazo zinashiriki mashindano haya kwa hapa Tanzania zimekuwa zikichezwa hapa miongoni mwa timu ambazo zimekuwa zikitumia Uwanja huu ni pamoja na Biashara United ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa, Horseed FC ya Somalia pia nayo ilitumia Uwanja wa Azam Complex.

 

SOMA NA HII  HIVI NDIVYO TP MAZEMBE WALIVYOTUA BONGO, KESHO KAZINI