Home Cecafa Cup RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI MICHUANO YA CECAFA WANAWAKE…SASA ITAFAHAMIKA KWA JINA LAKE

RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI MICHUANO YA CECAFA WANAWAKE…SASA ITAFAHAMIKA KWA JINA LAKE


Hatimaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameweka wazi fedha za udhamini wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati.

Rais Samia aliahidi kudhamini michuano hiyo alipokuwa kwenye hafla maalum ya kukabidhiwa Kombe la Ubingwa la CECAFA chini ua umri wa miaka 23 majuma mawili yaliyopita jijini Dar es salaam.


Mapema hii leo TFF imetoa taarifa za udhamini wa Rais Samia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki Fedha za udhamini wa michuano hiyo inayoendelea nchini Kenya.

Tanzania inawakilishwa na Simba Queens, na tayari imeshacheza michezo miwili, ikishinda mmoja na kutoka sare mmoja.

SOMA NA HII  BAADA YA KUITUNGUA SIMBA JANA...AZIZ KI KAIBUKA NA HILI JIPYA KWA 'KIGOGO' WA SERIKALI...