Home news SIMBA DAY: SIMBA 0-0 TP MAZEMBE

SIMBA DAY: SIMBA 0-0 TP MAZEMBE


UWANJA wa Mkapa

Simba Day

Simba 0-0 TP Mazembe

Dakika ya 17 Lwanga anacheza faulo 

Dakika ya 14 Kibu Dennis anazidiwa ujanja na nyota wa TP Mazembe 

Dakika ya 11 Morrison anapiga faulo ya kwanza inaokolewa 

Dakika ya 9 Manula anaokoa ndani ya 18

Dakika ya 8 Simba wanakosa ndani ya 18

SOMA NA HII  KISA SIMBA..WACHEZAJI NAMUNGO WAKOSA MAMILIONI YA AHADI..MCHEZAJI AFUNGUKA A-Z..YANGA WATAJWA...