Home video TAZAMA NAMNA UONGOZI WA SIMBA ULIVYOKUWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

TAZAMA NAMNA UONGOZI WA SIMBA ULIVYOKUWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA


UONGOZI wa Klabu ya Simba leo Septemba 15 umetoa kiasi cha Shilingi milioni 10 katika Hospital ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala kwa ajili ya kusaidia afya ya mama na mtoto. 


 Ni Barbara Gonzalez ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Simba pamoja na viongozi wengine walikuwa katika sehemu ya jamii waliofika katika kutoa huduma hiyo.

Pia walipata muda wa kuwatembelea wagonjwa na kuzungumza nao.

 Ni kuelekea katika Simba Day inayotarajiwa kufanyika Septemba 19, Uwanja wa Mkapa na utachezwa mchezo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe.

 

SOMA NA HII  VIDEO: OSCAR OSCAR ACHUKUA FOMU, TAZAMA MSAFARA WAKE ULIVYOKUWA