Home video VIDEO: ALIYEWATUNGUA YANGA ATAJA NAMNA ATAKAVYOWEZA KUJIUNGA NA SIMBA

VIDEO: ALIYEWATUNGUA YANGA ATAJA NAMNA ATAKAVYOWEZA KUJIUNGA NA SIMBA

MTUPIAJI wa bao pekee lililowapa maumivu Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya awali, Moses anayekipiga ndani ya Rivers United amesema kuwa alikuwa hajaifuatilia kwa muda mrefu Simba hivyo alipokuja Tanzania aliweza kufanya jambo hilo na kuweka wazi kuwa ikiwa timu hiyo inahitaji kupata saini yake ni suala la kufanya mawasiliano na uongozi wa Rivers United.

 

SOMA NA HII  VIDEO: MZARAMO AMLIPUA HAJI MANARA