Home video VIDEO:RIVERS UNITED YAIKAZIA YANGA, YAWEKA WAZI KWAMBA ITAWAFUNGA TENA NIGERIA

VIDEO:RIVERS UNITED YAIKAZIA YANGA, YAWEKA WAZI KWAMBA ITAWAFUNGA TENA NIGERIA

KIPA wa timu ya Rivers United ameweka wazi kuwa walifanya kazi kubwa kwenye kusaka ushindi mbele ya Yanga katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao ulichezwa Uwanja wa Mkapa na timu hiyo kushinda kwa bao 1-0 na ameweka wazi kwamba kuelekea kwenye mchezo wao wa marudiano wanahitaji kushinda kwa mara nyingine


Ameongeza kuwa Yanga wanaongea sana tena.
SOMA NA HII  TAZAMA NAMNA KOCHA MKUU WA SIMBA ALIVYOKAGUA UWANJA