Home video VIDEO:UZI MPYA WA SIMBA UKIWA NA MZEE WA KUCHETUA BERNARD MORRISON

VIDEO:UZI MPYA WA SIMBA UKIWA NA MZEE WA KUCHETUA BERNARD MORRISON

BERNARD Morrison kiungo wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wapo na kikosi cha timu hiyo kwa sasa kambini Arusha ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2021/22.


 Tayari kikosi hicho kimezindua uzi mpya utakaotumika msimu mpya na Septemba 19, Uwanja wa Mkapa itakuwa ni tamasha la Simba Day siku itakayokuwa rasmi kutambulisha uzi wao pamoja na kikosi kazi kwa msimu wa 2021/22

 

SOMA NA HII  KAKOLANYA:NIMEFIKIA MALENGO YANGU, TUTAPAMBANA MBELE YA YANGA