Ligi Kuu

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO

admin October 1, 2021 7:43 am


LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili ndani ya msimu mpya wa 2021/22.

Viwanja viwili leo vitakuwa na kazi ya kuhimili vishindo vya Wanaume 22 ndani ya dakika 90.

Biashara United kutoka Mara watakuwa na kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Ruvu Shooting,  itakuwa Uwanja wa Karume, Mara.

Dodoma Jiji itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Simba kwenye mchezo wa ligi utakaochezwa Uwanja wa Dodoma Jiji.

Dodoma Jiji ilishinda mchezo wake wa kwanza bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting huku Simba ikiwa imetoka kulazimisha sare ya bila kufungana na Biashara United.

MZUNGUKO WA KWANZA WAKUSANYA MABAO 10 BONGO YANGA YATUMA SALAMU GEITA GOLD

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply