Home video BIG AWATAKA SIMBA WAWE WAVUMILIVU video BIG AWATAKA SIMBA WAWE WAVUMILIVU By admin - October 2, 2021 113 0 BAADA ya ushindi wa bao 1-0 walioupata Simba mbele ya Dodoma Jiji, Big amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwa wavumilivu kwa kuwa ni mwanzo wa ligi na kuna watu wengi ambao wanaisema Simba.