Home video WATANZANIA WASHAURIWA KUWEKA KANDO ISHU ZA SIMBA NA YANGA

WATANZANIA WASHAURIWA KUWEKA KANDO ISHU ZA SIMBA NA YANGA

SHABIKI wa Yanga, Daud Yanga ameweka wazi kuwa kuna nafasi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kupenya kwenye hatua ya makundi licha ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Benin baada ya dakika 90 kukamilika kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Taifa Stars 0-1 Benin. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: MZEE WA UPOPOLO AKASIRIKA ISHU YA KISINDA KUUZWA, ATUPA DONGO ISHU YA USAJILI