News

KUHUSU WANAOM’BEZA KUWA HATAIWEZA NAFASI YA CHAMA…BWALYA AWAJIBU HIVI

admin October 19, 2021 12:00 pm


KIUNGO wa Simba Larry Bwalya, amefunguka mipango yake msimu huu kwenye Ligi Kuu na Ligi ya Mabigwa, huku akisema watafanya vizuri.

Mzambia huyu huu ni msimu wake wa pili akiwa na Simba na sasa anatajwa kuwa mmoja kati ya wachezaji watakaowika zaidi msimu huu.

Mzambia huyo amesema kuwa anaamini atakuwa na msimu bora sana.

“Nimejipanga vizuri kuisaidia timu yangu kwenye Ligi ya Mabingwa na hata Ligi Kuu Bara naamini kuwa kazi hiyo naiweza

“Ligi ni ngumu ila tushaizoea tutapambana kutetea nafasi yetu kwa kuwa uwezo huo tunao,” alisema Bwalya.

BAADA YA KUWACHAPA WABOTSWANA..GOMES ATUPA KIAINA DONGO JANGWANI… BAADA YA KUNUSA HALI YA HATARI…LWANDAMINA AWAITA CHAPCHAP MASTAA WAKE KAMBINI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply