Ligi Kuu

KIKOSI BORA CHA LIGI KUU WANAUME NA LIGI KUU WANAWAKE HIKI HAPA

admin October 22, 2021 4:55 am


Utoaji wa tuzo umefanyika Oktoba 21 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo Posta, Dar es salaam.Tuzo hizo ziligawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni ligi kuu, Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), maarufu kama FA na Ligi ya Wanawake.

Kikosi bora cha Ligi ya Wanaume

1. Aishi Manula

2. Shomari Kapombe

3. Mohamed Hussein

4. Joash Onyango

5. Dickson Job

6. Mukoko Tonombe

7. Clatous Chama

8. Feisal Salum

9 . John Bocco

10. Prince Dube

11. Luis Miquissone.


Kikosi bora cha Ligi ya Wanawake;


1. Janeth Shija

2. Julieth Singano

3. Happy Hezron

4. Vaileth Nicholas

5. Fatuma Issa

6. Amina Bilali

7. Stumai Abdallah

8. Opa Clement

9. Aisha Masaka

10. Mawete Mussolo

MATAJIRI WAONGEZA BILIONI UBINGWA YANGA..BOSI SIMBA AFUNGUKA KASI YA YANGA.. A-Z JINSI SIMBA SC ILIVYOZOA TUZO ZA TFF 2020-21 KIBABE…BOCCO AWA MVP…MANARA ATOKA KAPA….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply