Klabu ya soka ya Simba SC imepangiwa kucheza na Red Arrows ya Zambia kwenye mechi ya mtoani kuwania kuingia hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mechi ya kwanza itapigwa Novemba 28, 2021 Dar es salaam na kurudiana Desemba 5, 2021.