Home video JERRY TEGETE AGOMEA KURUDI TIMU KUBWA,AMTAJA AUCHO WA YANGA

JERRY TEGETE AGOMEA KURUDI TIMU KUBWA,AMTAJA AUCHO WA YANGA

MCHEZAJI wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete amesema kuwa Yanga ina kikosi kizuri ambacho kinaweza kuwapa matokeo huku wachezaji wakiwa na uwezo wa kufanya kile ambacho wanakitaka na pia kuhusu Simba ameweka wazi kwamba aliwatazama mara moja kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.

 
Amebainisha kuwa hawezi kucheza timu kubwa kwa wakati wa sasa ambapo anaitumikia African Lyon inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: YANGA YATAJA KILICHOKUWA KINAWAKWAMISHA, HAJI ATABANWA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here