MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba uliotarajiwa kuchezwa Oktoba 20 sasa unatarajiwa kuchezwa Oktoba 27.
Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) imeeleza kuwa sababu kubwa ni changamoto ya usafiri kwa Simba ambayo inashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.
Taarifa hiyo imeeleza namna hii:-